Aliyekuwa mgombea urais Tanzania 2005 Dr.Anna Senkoro amefariki dunia.soma zaid
Aliyekuwa mgombea urais wa kike wa
kwanza Tanzania (Uchaguzi 2005) kupitia
chama cha APPT-Maendeleo, Dr. Anna
Claudia Senkoro ameaga dunia.
Inadaiwa aliugua ghafla usiku wa kuamkia
leo na amefariki baada ya kukimbizwa
hospitali asubuhi ya leo.
Msiba upo nyumbani kwake, Tabata
Segerea jijini Dar.chanzo jamii forums
0 comments :
Post a Comment