Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, January 4, 2017

Majambazi wawili wameuwawa maeneo ya mikocheni karibu na Feza sekondari.soma zaid

Majambazi wawili wameuawa na Polisi
maeneo ya Mikocheni karibu na Feza
sekondari, walitaka kuwaibia Wachina.
Kati ya hao majambazi yupo jambazi wa
kike na amejisalimisha kwenye mkono wa
dola, huyu jambazi ndiye alikuwa dereva
wao.
Majambazi wengine bado wanatafutwa.
Taarifa zaidi zinasema askari wamefanya
patrol kwa wiki nzima hadi kufanikiwa
kuwanasa majambazi hawa.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top