Wakurugenzi watatu TANESCO wasimamishwa kazi.soma zaid
Wakuu huku Tanesco hali si shwari
mpaka sasa Wakurugenzi wetu watatu
wameshushwa vyeo na kuhamishiwa
katika chuo cha TANESCO (TSS).
Declan Mhaiki aliyekuwa Deputy
Managing Director - Transmission
Sophia Mgonja aliyekuwa Deputy
Managing Director - Distribution
Mr Kachwamba aliyekuwa Deputy
Managing Director - Generation.
Aidha Watson Mwakyusa, Mkurugenzi
wa Idara ya Rasilimali Watu yeye
ameamua kuachia ngazi.chanzo jamii forums
0 comments :
Post a Comment