Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, January 4, 2017

Waziri mkuu Kasimu Majaliwa amewaagiza tena Wakurugenzi wote nchini.soma zaid

Waziri mkuu Kassim Majaliwa
amewataka Wakurugenzi wote wa Halmashauri
na Manispaa nchini kuacha kutoa fedha taslimu
na kuwapa madiwani ili zikafanye kazi za
maendeleo.
Badala yake amewataka waandae mfumo
maalum wa kutoa fedha hizo kama zinavyotolewa
fedha za mfuko wa Jimbo ambazo ni maalum
kwa wabunge lakini zinatumika kw

0 comments :

Post a Comment

Back To Top