Kipa wa kagera Suger amefariki dunia.soma zaid
David Buruhan kipa wa Kagera Sugar na
mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa
timu ya PAN, Abdallah Buruhan amefariki
leo Hospitali ya Bugando.
Aliugua ghafla wakielekea Singida kwenye
mechi ya Kombe la Shirikisho, waliporudi
Kagera hali yake ikawa mbaya na
kukimbizwa Bugando.
0 comments :
Post a Comment