Maandamano mengine Marekani.soma zaid
Amri iliyojaa utata iliyotolewa na Rais Donald
Trump ya kupiga marufuku wasafiri kutoka nchi
saba za kiislamu kuingia nchini Marekani imeibua
hasira na maandamano makubwa nchini humo,
ikionekana kuwa mtihani wake wa kwanza katika
siku kumi za utawala wake.chanzo DW swahili
0 comments :
Post a Comment