Mkuu wa wilaya ya uyui mkoani tabora amejiuzuru.soma zaid
Kuna taarifa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Uyui mkoani Tabora, Mwanasheria msomi
ameachia ngazi hiyo mchana wa leo
baada ya kwenda kuiaga Kamati ya
Madiwani wa CCM ya Wilaya hiyo.
Ndugu Gabriel Simon Mnyele ameamua
kufanya hivyo kwa hiari yake pasipo
shuruti.chanzo jamii forums
0 comments :
Post a Comment