Mlipuko mkubwa umetokea kwenye mji mkuu wa Mogadishu nchini Somalia.soma zaid
Mlipuko mkubwa umetokea kwenye mji wa
Mogadishu nchini Somalia katika hoteli ya Dayax
wanasema.polisi.
Waandishi.wengi.wa habari wamejeruhiwa.
Kulikuwa na zaidi ya wabunge 20 kwenye hoteli
hiyo.
Sasa kuna ufyatulianaji wa risasi kwenye.hoteli
hiyo.kati ya polisi na washambuliaji
wanaoshukiwa kuwa wa al-Shabaab.
0 comments :
Post a Comment