Breaking News
Loading...

Advert

Monday, January 23, 2017

Nyota ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete imeendelea kung'ara.soma zaid

Dr. JK ameshiriki katika uzinduzi wa baraza la
kutokomeza Malaria Duniani ( End Malaria
Council ) uliofanyika tarehe 19 January 2016 huko
Davos Uswisi ambapo baraza la kutokomeza
Malaria linaundwa na Wajumbe 9 ambao ni watu
mashuhuri katika sekta ya umma na sekta binafsi
duniani na orodha yenyewe ya Wajumbe ndio hii
hapa chini
______________________________
1. Bill Gates – Mwanzilishi na mmiliki wa Bill
Gates Foundation
2. Ray Chambers – Mwakilishi Maalum wa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu
Malaria
3. Peter Chermin – Mwanzilishi wa Chermin
Entertainment na Chermin Group
4. Aliko Dangote – Rais na Mtendaji Mkuu wa
Dangote Group
5. Idrisa Deby – Rais wa Chad kwa nafasi yake
ya Mwenyekiti wa Taasisi ya ALMA
6. Jakaya Kikwete –Rais Mstaafu wa Tanzania
7. Graca Machel – Mwanzilishi wa Foundation
for Community Development,Msumbiji
8. Luis Alberto Moreno –Rais wa Inter-American
Development Bank
9. Ellen Johnson Sirleaf – Rais wa Liberia

0 comments :

Post a Comment

Back To Top