Naibu waziri Hamad Masauni ametembelea mpaka unaounganisha Tanzania na Malawi.soma zaid
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji jijini Mbeya,
Kamishna Msaidizi, Asumsio Achachaa,
akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (kulia) baada ya kutembelea mpaka
waKasumulu unaotenganisha nchi za Tanzania
na Malawi wilayani Kyela. Mlima unaoonekana
nyuma upo nchini Malawi. Naibu Waziri yupo
wilayani Kyela kwa ziara ya kikazi.
0 comments :
Post a Comment