Breaking News
Loading...

Advert

Monday, January 2, 2017

Rais John magufuli ahutubia wakazi wa Bukoba Kagera.


Magufuli: Cement imechangwa zaidi ya
30,600 na mabati zaidi 31,000. Wananchi
wameshaanza kupewa, wengine
wamejengea na wengine wameuza.
Kamati ya maafa Mkae na mfahamu kila
senti imeenda wapi, kuna pesa haionekani
imetumika wapi.
Magufuli: Hatutajenga nyumba za
wananchi, hakuna sehemu yeyote duniani
tetemeko likitokea, serikali inajenga
nyumba za wananchi. Nyumba
zimebomoka zaidi ya 2,000.
Rai Magufuli ametaifisha shule ya
Omumwani inayomilikiwa na Jumuiya ya
wazazi(CCM) mkoani Kagera.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top