Breaking News
Loading...

Advert

Monday, January 2, 2017

Rais aitafisha shule ya wazazi wa CCM Kagera

"Bahati nzuri au bahati mbaya mimi
ndiye Mwenyekiti wa CCM, natambua ile
shule ya Umwani ni ya CCM, sasa
naagiza iwe ya Serikali.
Na Profesa Ndalichako yupo hapa
ahakikishe masaula yote pamoja na
madai ambayo shule wanadaiwa na
Jumuiya ya Wazazi yalipwe na shule
irudishwe serikalini.
Walimu na Wanafunzi wote watabakia
pale pale na watakuwa ni wa serikali
wawe wameshindwa au kushinda mitihani
yao." Rais Dk Magufuli, Bukoba.
Hayo ni maneno ya Rais Magufuli mapema leo
Januari 2, 2017 alipokuwa akiongea na wakazi
wa Bukoba ikiwa ni sehemu ziara ya siku mbili
mkoani Kagera.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top