Mwanamke akamatwa akisafirisha kijana wa miaka 19 kwenye sanduku.soma zaid
Mwanamke akamatwa akijaribu kumsafirisha
kijana wa miaka 19 kwenye sanduku.
Mwanamke raia wa Morocco amekamatwa
mpakani mwa Morocco na Hispania akijaribu
kumsafirisha kijana mwenye umri wa miaka 19
raia wa nchini Gabon akiwa ndani ya sanduku.
Askari wa Spanish Civil Guard walimkamata
mwanamke huyo huko Ceuta, karibu na Morocco.
0 comments :
Post a Comment