Mshambuliaji wa simba Ibrahim Ajibu kafunga ndoa .soma zaid
Ukisema ameachana na ukapera, si vibaya. Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu “Cadabra” leo amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi. Ajibu ameamua kukamilisha ndoto yake hiyo kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi siku chache kabla ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
0 comments :
Post a Comment