Ripot ya uchunguzi wa mchanga wa dhahabu kigogo atumbulia na bodi kuvunjwa.soma zaid
MAGUFULI NA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA
MCHANGA WA DHAHABU
Kwa ajili ya kazi hii muhimu ilibidi wajumbe
tuwatafutie ulinzi maalum, lakini bado wapo watu
walitokeza kutaka kuingilia uchunguzi huu, na
majina yao tunayo, na wengine tunawajua kuna
mwingine anajiitaga Professa wakati yeye ni Dkt.
alipewa hela mbele ya kamera. Ninachotaka
kusema kwa Watanzania tupo kwenye vita na vita
ya uchumi mbaya sana.
Kwa ripoti za juu, huwa wanasafirisha makontena
250 hadi 300, ambapo kwa mwaka ni makontena
360"
Tanzania tulitakiwa kuwa donar country maana
mali tumepewa na Mungu, sasa sijui tunatakiwa
kuombewa kwa imani gani" JPM
"Niliteua watendaji wasomi nikifikiri watatusaidia
lakini sasa wasomi wenzao wana waprove
wrong" -
JPM
"Sera ya madini ya mwaka 1996 iliagiza
kununuliwa kwa smelter, lakini viongozi kwenye
wizara hakujali hilo" -
JPM
"Ripoti hii haiwezi kupita hivi hivi, lazima tufanye
kitu, kwanza mapendekezo yote ya kamati
tumeyakubali" -
JPM
"Pili, bodi ya TMAA nimeivunja kuanzia leo, na
CEO wake anasimama kazi" -
JPM
"Vyombo vya dola viwafuatilie watendaji wote wa
TMAA waliohusika na CEO wao wafikishwe
kwenye vyombo vya sheria " - JPM
"Wizara pia imeshindwa kuisimamia TMMA,
imeshindwa kununua smelter, kwa sababu hiyo
vyombo vianze kuwachunguza" -
JPM.chanzo east africa television
0 comments :
Post a Comment