Wilaya ya muleba yakabiliwa na upungufu wa watumishi wa umma 2588 baada ya uhakiki wa vyeti.soma zaid
Wilaya ya Muleba mkoani Kagera
yakabiliwa na upungufu wa watumishi 2588
katika idara mbalimbali baada ya zoezi la
kuhakiki wa vyeti kwa watendaji wa serikali hali
ambayo imesababisha kuzolota kwa kwa huduma
za kijamii.chanzo itv tanzania
0 comments :
Post a Comment