Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 15, 2017

Mwanamke amejikuta hana sehemu yake ya siri baada ya kuiba fedha Guest alipokua anakula uroda na mwanaume asiyemjua mkoani Kagera.soma zaid

# SEHEMU ZA SIRI ZAYEYUKA BAADA YA
KUMUIBIA MWANAUME ALIYELALA NAE!
Dada mmoja mjini Bukoba akiwa hajielewi kwa
kile kilichompata, ajikuta hana sehemu zake za
siri (Nyeti Zake) baada ya kulala na mwanaume
msukuma katika nyumba ya wageni ya Super
star hamugembe na kutoweka na pesa za
mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi
wa Misungwi Mkoani Mwanza ambae hufanya
biashara ya Ndizi toka Bukoba kwenda Mwanza.
Baada ya kuondoka na pesa za jamaa, muda wa
masaa kadhaa hadi anapoishi alihisi kubanwa na
haja ndogo ndipo alipoenda chooni kwa lengo la
kukojoa.
Lakini Dada huyu alijikuta katika hali ya
Mshangao mkubwa na mshituko baada ya kuona
hana sehemu zake za siri za kukojolea hali
iliyomfanya aonekane kama mtu aliyechanganyik
iwa na kupiga mayowe ghafla na kupelekea
umati mkubwa wa watu kujaa wakimshangaa
pasipokumuelewa. Ndipo akaeleza mwenyewe
kuwa kachukua pesa za mwanaume aliyekuwa
nae Guest usiku na sasa haoni kitumbua chake.
Baadae Police walifika eneo la tukio na kupata
maelezo hivyo kumchukua Binti huyo hadi mahali
Guest Ilipo.
Bahati Nzuri Walimkuta Msukuma Huyu Akiwa
Bado Yupo Hapo Guest Akiwazia Pesa Zake, Na
Binti Alipomuona Alimkimbilia Na Kupiga Magoti
Huku Akilia Machozi Akimuomba Chonde Chonde
Achukue Pesa Zake Amrudishie Nyeti Zake.
Ndipo Ngosha Huyo Akatoa Kikopo Kidogo
Katika Mfuko Wake Wa Suruali Kilichokuwa Na
Dawa Za Kiasili Akachanganya Na Maji Na
Kumumwagia Mwilini mwake Kisha Akamuambia
Atazame Kama Nyeti Zake Zimerudi.
Binti Bila Kujali Umati Wa Watu Alifunua Sketi
Yake Na Kujipapasa takribani mara tatu akiwa
haamini amini Na Kukuta Imerudi Kama
Ilivyokuwa Mwanzo na kupaza sauti ""Ipoo Ipoo
Imerudiiiii" Binti Alilia Sana Na Kumuomba
Jamaa Amsamehe Sana Na Kuahidi Hatorudia
Tena Mchezo Huo Wa Kuwaibia Wanaume Hasa
Wageni Asiowajuwa.
Jamaa Akamwambia Nishakusamehe Ila Kuwa
Makini Watu Wengine Huwa Hatuibiwi Ovyo
Ovyo.! Kesi Ikaishia Pale Na Watu
Wakatawanyika japo Ngosha Katoa Fundisho.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top