Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 15, 2017

Mwandishi wa habari wa ABC apigwa risasi shingoni kimakosa nchini Kanada.sona zaid

CANADA: Mwandishi wa habari wa Kituo
cha ABC nchini Canada, Adam Harvey
amepigwa na risasi kwa makosa shingoni
wakati akiripoti mapigano yanayoendelea
chini Ufilipino.
Licha ya kunusurika, lakini risasi hiyo
imenasa shingoni mwa mwanahabari
huyo.
Leo, Harvey ametupia picha yake ya X-ray
katika mtandao wa Twitter ikionyesha
risasi ilivyokwama ndani ya shingo lake.
Hata hivyo, Mkurugenzi wa Kituo cha
ABC, amesema jeraha hilo sio la
kumtishia maisha.
Harvey amesema alipigwa risasi wakati
akiinama kuchukua chakula kutoka
kwenye gari.
“Ingawa nilikuwa nimevalia mavazi ya
kujikinga dhidi ya risasi, lakini nilisikia
nikigongwa na kitu nilichohisi ni kama
mpira wa kriketi,” amesema Harvey.
Chanzo: Mwananchi

0 comments :

Post a Comment

Back To Top