RASIMI# Haruna Niyonzima aipiga chini Yanga akataa kusaini mtaba mpya.soma zaid
Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Katibu Mkuu
Boniface Mkwasa inapenda kuwajulisha
wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga juu
Mchezaji raia wa Rwanda Haruna Niyonzima
ambaye amekua Mchezaji wetu kwa misimu 6
mfululizo katika kiwango cha juu.
Hata hivyo Haruna Niyonzima bado ana mkataba
mpaka mwezi Julai na Yanga Sc, lakini
hatutaweza kuendelea kuwa nae kwa msimu ujao
kwani hatukuweza kufikia mwafaka katika
mazungumzo yetu na yeye licha ya timu yetu
kuwa na nia za kuendelea nae kwa misimu miwili
ijayo.
Klabu inamtakia kila la kheri katika maisha yake
na soka kwa ujumla.
Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo
Young Africans Sports club.
21-06-2017.
0 comments :
Post a Comment