Wahalifu wanne wauwawa katika mapigano na polisi Kibiti.soma zaid
WAHALIFU WANNE WAUWAWA KATIKA
MAPAMBANO NA POLISI KIBITI
Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua
wahalifu wanne wanaosadikiwa kuwa miongoni
mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika
wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji katika
mapambano yaliyodumu kwa zaidi ya nusu saa
katika kijiji cha Pagae wilayani Kibiti mkoani
Pwani.
Akielezea tukio hilo Mkuu wa Oparesheni
Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa
Polisi Liberatus Sabas alisema tukio hilo lilitokea
siku ya Alhamisi juni 29 majira ya saa tatu usiku
kwenye barabara ya vumbi itokayo Pagae
kuelekea Nyambunda ambapo Askari Polisi
wakiwa doria walikutana na kikundi cha watu
kinachokadiriwa kuwa na watu sita ambapo
wahalifu hao baada ya kuona gari la Polisi
walikimbilia vichakani na kuanza kuwarushia
risasi Polisi. — with Silongoi Lepando , Blanca
Peter and Jackie
0 comments :
Post a Comment