Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, October 4, 2017

Watu 9 wamefari na wengine kulazwa baada ya kunywa gongo Kimara Dar es salaam.sa zaid

Watu 9 wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakilazwa hospitalini baada ya kunywa pombe haramu aina ya gongo.  Taarifa zaidi.. Inadaiwa kuwa wanywaji hao kuanzia siku ya jana walianza kufariki mmoja mmoja kwa nyakati na mazingira tofauti. Aidha, inaelezwa kuwa huenda kinywaji hicho kilikuwa na hitilafu katika uandaaji au ni kuzidisha kipimo na inahofiwa kuwa idadi ya vifo inaweza ikaongezeka. Naendelea kufuatilia, nitawajuza taarifa rasmi zikipatikana.chanzo jamii forums

0 comments :

Post a Comment

Back To Top