Breaking News
Loading...

Advert

MICHEZO

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

Recent Post

Wednesday, January 6, 2016
Habari kutoka ikulu dar es salam

Habari kutoka ikulu dar es salam

Rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania mh. John pombe magufuli amemtumia salam za rambilambi Mkuu wa jeshi la polis hapa inchini IGP ernest mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Gelard Ryoba kilichotokea wilaya ya kibaigwa mkoan Dodom baada ya gari walilopanda kusombwa na maji ya mto. Chanzo ITV.

Ni mwendo wa kutumbua majipu

Ni mwendo wa kutumbua majipu

Waziri Mkuu kassim majaliwa leo hii ametembelea kiwanda za tumbaku mkoan Ruvuma na kusimamisha baadhi ya viongozi wa chama kikuu cha ushirika cha NOSMCU.chanzo ITV

Tuesday, January 5, 2016
Hivi kitendo cha kuchora tatoo ya mpenzi wako ninamaanisha unampenda kwa dhati?

Hivi kitendo cha kuchora tatoo ya mpenzi wako ninamaanisha unampenda kwa dhati?

Hapa nazungumzia tatoo ya shilole kuhusu mpenzi wake nuhoo mziwanda nikweli kwamba shilole alikuwa na mapenzi ya dhati kwa nuhoo?nahii imekuja baada ya shilole kujilaum na kulamika kuchora tatoo na kuandika jina  la nuhoo ambae wameachana.anachokilaum shilole yuko sahii?

serikali kuuza hissa asimilia 49.

serikali kuuza hissa asimilia 49.

Selikari inategemea kuuza asilia 49 za hissa za TANESCO na kuwekeza sh.billion1.2 TANESCO.kama mpango wake wa kuhakikisha TANESCO inazaliza umeme megawati 10000.ifikapo 2025.hayo aliyasema wazir wa nishati prof.sosipta muhongo.

Hiki ndo alichokiona makamu wa rais mh.suluhu hassan.

Hiki ndo alichokiona makamu wa rais mh.suluhu hassan.

makamu wa rais wa Tanzania mh.Samia suluhu hassani amekiri na kusema kuna ufisadi katika secta ya afya akisema asilimia 40% ya dawa zimazotumwa hosiptalini hazitumiki inavotakiwa.chanzo clouds FM.

Hii ni kauli yake wazir mkuu kassim majariwa

Hii ni kauli yake wazir mkuu kassim majariwa

waziri Mkuu wa Tanzania mh.kassim majaria amesitiza na kusema hakuna mtanzania atayekufa kwa njaa kisa amekosa chakula.

Monday, January 4, 2016
Selikari imedhamilia kuimarisha sekta ya afya.

Selikari imedhamilia kuimarisha sekta ya afya.

selikari kuendelea kudhamini afya ya wananchi imenunua machine mpya CT SCANE yenye dhamani ya sh.3.5b na kufungwa katika hospital ya taifa muhimbili.

Back To Top