Breaking News
Loading...

Advert

MICHEZO

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

Recent Post

Monday, February 1, 2016
Kaimu mkuu wa mkoa simiyu agiza kukamatwa kwa mwalimu mkuu kutokana na  wizi wa mabati ya shule.soma zaidi.

Kaimu mkuu wa mkoa simiyu agiza kukamatwa kwa mwalimu mkuu kutokana na wizi wa mabati ya shule.soma zaidi.

Serikal yaagiza kukamatwa kwa mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari ya  legangabilili aliyeiba mabati ya maabara .polisi wilayani itilima waliagizwa kumkamata na kumrejesha Mkuu huyo Zkaria aliyeko masomoni ili kujibu tuhuma zinazomkabili za kuhamisha mabati ya maabara na saruji katika jengo lake.chanzo Radio one sterio.

Meneja wa machesiter city afungasha virago Guardiola awa mbadala.soma zaid.

Meneja wa machesiter city afungasha virago Guardiola awa mbadala.soma zaid.

Meneja wa Manchester city Manuel pellegrino amethibitisha kuwa ataondoka Etihadi mwisho wa msimu.Pepbguadiola atakuwa meneja mpya wa Manchester city.Guadiola amesaini mkataba wa miaka mitatu Etihadi.

Waajiri wasio toa mikataba kwa vibarua wao wapewa wiki mmoja kutoa mikataba.soma zaidi.

Waajiri wasio toa mikataba kwa vibarua wao wapewa wiki mmoja kutoa mikataba.soma zaidi.

Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano makame mbarawa ametoa wiki moja kwa waajiri inchini kutoa mikataba ya ajira kwa vibarua wao.

Friday, January 29, 2016
no image

Mkuu wa mkoa wa mwanza avunja bodi ya shule na kumsimamisha mkuu wa shule na walimu wawili.soma zaidi.

Mkuu wa mkoa wa mwanza magesa mlongo amevunja vodi ya shule ya sekondari pamba iliyopo jijini mwanza  na kumuvua madaraka Mkuu wa shule hiyo Aidani Dotopery pamoja na walimu wengine wawili kutoka na kushindwa kusimamia  vyema matumizi ya fedha na mali za while zao.chanzo ITV tz

Ccm kutumbua majipu yaliyohusika na upotevu wa shilling5.8billon wilayani kasulu kigoma.soma zaid.

Ccm kutumbua majipu yaliyohusika na upotevu wa shilling5.8billon wilayani kasulu kigoma.soma zaid.

Chama cha ccm wilayani kasulu mkoani kigoma kimewataka madiwani wote waliohusika na upotevu wa zaidi ya shillingi5.8billon katika halimashauri hiyo kuhakikisha pesa hizo zinarudishwa kabla chama hicho hakijachukua hatua zaid.chanzo redio kwizera.

Mwili wa mtu mmoja umepatikana baada ya kivuko cha kilombero kuzama.soma zaid.

Mwili wa mtu mmoja umepatikana baada ya kivuko cha kilombero kuzama.soma zaid.

January 26,2016 kulikuwa na taarifa ya kutokea ajari ya kivuko cha kilombero kilichokuwa kimepakia watu na magari.wapo waliofanikiwa kutoka salama lakini bado wengine hawakuwa wametoka.jitihada zikaanza kuhakikisha uokoaji unafanyika. Ripot kutoka kituo cha ITV imenifikia tayari kwanza mwili wa mtu mmoja umepatikana na bado jitihada za uokoaji zinaendelea.

Kipindupindu chazitesa familiya za kitanzania .

Kipindupindu chazitesa familiya za kitanzania .

Watu kumi wamelazwa wilayani itilima mkoani simiyu baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu wilaya ambyo haikuwa na mgonjwa hata mmoja.chanzo ITV.

Back To Top