Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, March 22, 2016

Bodi ya shirika la nyumba hapa nchini NHC yapigwa marufuku na Lukuvu.soma zaid.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi William Lukuvi amepiga marufuku
bodi ya shirika la Nyumba la Taifa
kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya
kibiashara.
Sambamba na hilo Waziri Lukuvi amepiga
marufuku Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC) kupandisha kodi kwa nyumba za
Serikali bila kumhusisha.
Aidha Waziri Lukuvi ameitaka NHC
kujenga nyumba za bei nafuu kwa kuwa
zilizopo sasa ni ghali kwa watanzania
walio wengi, hivyo kushindwa kumudu
gharama hizo.
Maagizo hayo ameyatoa wakati
akizungumza na bodi ya NHC Jijini Dar es
Salaam.chanzo jamii forums.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top