TFF imepokea barua ya malalamiko kutoka clubu ya simba.soma zaid.
Klabu ya soka ya Simba wamekabidhi barua yao
ya malalamiko kwa shirikisho la soka Tanzania
TFF na Nakala nyingine imepelekwa kwa Waziri
Nape Nnauye, ikiwatuhumu TFF kuzipendelea
timu za Yanga na Azam FC katika ratiba ya Ligi
kuu na mambo mengine mengi.chanzo east afrika television.
0 comments :
Post a Comment