Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, March 3, 2016

TRA yakamata DVD zisizo na stika kariakoo.

Hazina kubwa ya DVD zenye thamani ya zaidi ya
shilingi milioni themanini zimekamatwa na TRA
Kariakoo jijini Dar es Salaam zikiwa hazina stika
za TRA.
Mkurugrnzi wa elimu kwa mlipakodi wa TRA
Richard Kayombo amesema DVD hizo
haziruhusiwi kuuzwa nchini kwa kua hazina stika
hizo za TRA na hivyo imezichukua kwenda
kuzihifadhi kwa hatua zaidi za kisheria.chanzo itv.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top