Afsa Ardhi halmashauri ya iramba kitanzini kwa kupokea rushwa ya million12.soma zaid.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John
Mongella amemuagiza Kamanda wa Polisi
Mkoani Mwanza kuhakikisha anashirikiana na
kamanda mwenzake wa Mkoa wa Singida, Mkuu
wa TAKUKURU pamoja na Katibu Tawala wa
mkoa kwa ajili ya kumkamata na kumrejesha
Manispaa ya Ilemela Afisa Ardhi mteule wa
halmashauri ya wilaya ya Iramba Aniceth
Rweyemamu ili kujibu tuhuma za kuomba na
kupokea rushwa ya shilingi milioni 12.chanzo radio one.
0 comments :
Post a Comment