Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, April 24, 2016

Afsa Elimu msingi mkoani iringa apewa vipindi vya kufundisha darasani.soma zaid.

Ofisa Elimu wa Shule za Msingi wa Manispaa ya
Iringa, Haji Mnasi.
Kwa ufupi
Mnasi amefikia uamuzi hi kwa kilie alichodai ni
kutekeleza kwa vitendo kauliya hapakazi tu akiwa
na dhamira ya kuwatia morali walimu ya
kufundisha kwa bidii na kuwezesha halmashauri
hiyo kufikia lengo iliyojiwekea kufaulisha kwa
asilimia 98 katika msimu wa ujao.
I Ofisa Elimu wa Shule za Msingi wa
Manispaa ya Iringa, Haji Mnasi ameungana na
walimu wake kuingia darasani na kufundisha
ikiwa ni utekelezaji wa mataala kwa vitendo.
Mnasi amefikia uamuzi hi kwa kilie alichodai ni
kutekeleza kwa vitendo kauliya hapakazi tu akiwa
na dhamira ya kuwatia morali walimu ya
kufundisha kwa bidii na kuwezesha halmashauri
hiyo kufikia lengo iliyojiwekea kufaulisha kwa
asilimia 98 katika msimu wa ujao.
“Matokeo ya mwaka jana Manispaa tulifikia
asilimia 85.5 na sasa tumeweka lengo la kufikia
asimilia 98 lengo langu la kufanya ziara na
kuingia darasani kufundisha ni kusaidia
kuamusha morari ya walimu ya kufundisha,hii
inatokana na walimu wengi kukata tamaa
kutokana na changamoto mbalimbali ambazo
kwa sasa serikali inazishughulikia”alisema Mnasi.
Mnasi alisema kuanzaia sasa atafanya ziara
nyingi mashuleni ili kujionea utendaji kazi lakini
pia katika ziara hizo amewaagiza waratibu elimu
kata kumuandalia vipindi ili aweze kuingia
darasani na kufundisha.
Akizungumza changamoto zinazowakabili walimu
katika Manispaa hiyo alisema ni upandishaji wa
madaraja na upatikanaji wa sitahiki zao ambapo
alisema kwa sasa changamoto zote zimefanyia
kazi na zimefikia hatua nzuri na kwamba mda
simrefu kilio cha walimu juu ya stahiki zao
kitabaki historia.
“Suala la madaraja tumeshalishughulikia jambo
lililobaki ni lile la stahiki zao na tumeshalifikisha
ngazi za juu linafanyiwa kazi ninaimani kuwa
jambo hilo linakwenda vizuri na mda simrefu
litabaki historia,”alisema Mnasi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top