Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, April 30, 2016

Baadhi ya wakazi wa kitangiri mwanza hawana hati ya viwanja.soma zaid

Zaidi ya kaya 500 katika mtaa wa
Kitangiri Jiwe kuu manispaa ya Ilemela mkoani
Mwanza hazina hati za viwanja baada ya kamati
ya maboresho ya urasimishaji makazi iliyokuwa
chini ya halmashauri ya jiji la Mwanza kushindwa
kuwapimia viwanja vyao toka mwaka 2008 hadi
sasa, licha ya wakazi hao kuchangia zaidi ya
shilingi milioni 20 kama gharama za upimaji
viwanja.chanzo radio one sterio

0 comments :

Post a Comment

Back To Top