Breaking News
Loading...

Advert

Friday, April 1, 2016

EWURA yatangaza kushusha bei za umeme.

Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na
Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme
kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango
tofauti.Kushuka huko kwa bei ya umeme ni
kutokana na ombi la Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO kutaka bei za umeme zipunguzwe
sambamba na hilo gharama za huduma kwa
baadhi ya wateja zimeondolewa.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top