Hii imetokea nchini Kenya mvua zinazoendelea kunyesha zasababisha vifo vya watu7.soma zaid
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Nairobi
zimesababisha maafa makubwa.
Watu 7 wamefariki dunia na wengine kukosa
makazi.
Jengo la ghorofa 5 limeporomoka na hadi sasa
watu 50 wameokolewa
0 comments :
Post a Comment