Breaking News
Loading...

Advert

Friday, April 29, 2016

Kwa hili mkuu wa mkoa mwanza lazima tumpongeze.soam zaid.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John
Mongella ametoa muda wa miezi miwili kuanzia
sasa hadi juni 30 mwaka huu, kwa watendaji wa
ngazi ya mitaa hadi wilaya mkoani humo,
kuhakikisha wanamaliza tatizo la uhaba wa
madawati katika shule mbalimbali za msingi na
mtendaji yeyote atakayeshindwa kutekeleza agizo
hilo atakuwa amejifukuzisha kazi mwenyewe.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top