Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, April 23, 2016

Kauli ya mseveni yaleta matumaini kwa watanzania.soma zaid.

Leo Tarehe 23 Aprili, 2016 Tanzania
yafanikiwa kupata Bomba la mafuta ghafi
baada ya Mhe. Museveni Rais wa Jamhuri
ya Uganda kutoa kauli ya mwisho Kuwa
Mradi Bomba la Mafuta ghafi utapita Njia
Kaskazini mwa Tanzania hadi Bandari ya
Tanga.
Kauli hiyo imetolewa Leo Saa 7 mchana
katika mkutano wa 13 wa Northern
Corirodor uliofanyika Munyonyo Nje
Kidogo ya Jiji la Kampala. Kauli hiyo
ilitolewa mbele ya marais wa Kenya,
Rwanda, na Wawakilishi wa South Sudan,
Ethiopia, Tanzania, DRC na Burundi.
“I have agreed with President Uhuru
Kenyatta that let the two pipelines go
ahead."

0 comments :

Post a Comment

Back To Top