Kigogo wa NSSF kufikishwa mahakamani kwa ufisadi.soma zaid.
Mail
DK. Ramadhan Dau, aliyekuwa mkurugenzi wa
Shirila la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati
wowote kutoka sasa. Anaandika
(endelea) .
❝
Dk. Dau anatuhumiwa kuingiza NSSF hasara
ya mabilioni ya shilingi, kutokana mikataba
ya kinyonyaji. Amekuwa katika shirika hilo
kwa miaka 15.
Taarifa kutoka serikalini na taasisi nyingine
zinazoshughulikia uchunguzi zinasema, Dk. Dau
ambaye aliong’olewa NSSF 15 Februari mwaka
huu, atafikishwa kwa mahakamani, kujibu tuhuma
za ufisadi zilizoibuliwa ndani ya shirika hilo.
Tuhuma nyingine ni matumizi mabaya ya
madaraka, uzembe na ukiukwaji wa taratibu
katika miradi ya uwekezaji na vitega uchumi
mbalimbali ndani na nje ya nchi.chanzo mwanahalisi.
0 comments :
Post a Comment