Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, April 6, 2016

Tanzia# maafa yatokea kawe Dar watu wanne wafariki dunia.soma zaid.

Watu wanne wamefariki baada ya
kufukiwa na kifusi katika eneo la Kawe
Ukwamani kwa kwandobe Kawe jijini Dar
es Salaam.
Waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto
wawili na baba mwenye nyumba.
Udongo uliporomoka.
Wengine watano wamejeruhiwa.chanzo jamii firums.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top