Breaking News
Loading...

Advert

Monday, April 18, 2016

Mbio za mwenye 2016 zazinduliwa mkoani morogoro.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
awasili Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa
ajili ya kuzindua mbio za Mwenge wa
Uhuru.
Mwenge huo wa UHURU utakimbizwa nchi
nzima katika yote Mikoa 31 na
Halmashauri 173.
Tusitegemee kufutwa leo wala kesho.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top