Nyumba zilizo ndani ya hifadhi ya barabara kubomolewa jijini mwanza kunzia julai.soma zaid.
Meneja wa Wakala wa Barabara nchini
(Tanroads) Mkoa wa Mwanza, Leonard Kadashi
ameyasema hayo jana kwamba wapo katika maandalizi ya
kuendesha operesheni ya kubomoa majengo yote
yaliyo ndani ya hifadhi ya barabara.
Watu wenye nyumba zilizojengwa ndani
ya hifadhi barabara jijini hapa, wametakiwa
kujiandaa kuzibomoa ili kupisha upanuzi wake.
Meneja wa Wakala wa Barabara nchini
(Tanroads) Mkoa wa Mwanza, Leonard Kadashi
alisema jana kwamba wapo katika maandalizi ya
kuendesha operesheni ya kubomoa majengo yote
yaliyo ndani ya hifadhi ya barabara.
Alisema ubomoaji huo utaendeshwa kupisha
upanuzi wa barabara za jiji hilo unaotarajiwa
kuanza mwezi Julai na kuwataka wananchi kuwa
tayari kuondoka kabla ya Septemba, mwaka huu.
0 comments :
Post a Comment