Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, April 30, 2016

Prof.Tibaijuka atoa yake kutoka moyoni asikitika kutolewa kafara huku mtandao mkubwa wa kifisadi ukiachwa.soma zaid.


Akiongea na Count Down ya Clouds Fm
Prof Tibaijuka amesema yeye ni muhanga
wa ufisadi. Amesema kuna mtandao wa
mafisadi unaotoa watu kafara na wenyewe
hauguswi.
"Naafiki kuanzishwa kwa mahakama ya
mafisadi, labda itasaidia kukamatwa na
kushitakiwa mafisadi wenyewe. Maana
wengine tunatolewa kafara na mtandao
hauguswi, labda zitaachwa kukamuliwa
nyama na kuziita majipu". Alisema Prof
Tibaijuka.
My take:
Mtandao huu ni upi? Unalindwa na nani?
Hivi Prof ni msafi au anajitetea?

0 comments :

Post a Comment

Back To Top