Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, April 28, 2016

Ugojwa wa Kipindupindu umeuwa watu 45 zanzbar.soma zaid.

visiwani Zanzibar wamesema
mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu umeuwa
watu 45 visiwani humo katika kipindi cha miezi
miwili iliyopita. Zaidi ya watu 3,000
wameambukizwa tangu kuripuka kwa ugonjwa
huo Septemba mwaka jana. Ugonjwa huo
unaaminika ulitokea Tanzania bara, ambako kwa
mujibu wa taarifa za serikali uliuwa zaidi ya watu
300 tangu mwezi Agosti. Mengi zaidi sikiliza
matangazo yetu ya jioni.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top