Breaking News
Loading...

Advert

Monday, May 16, 2016

Kagame amesema hakuna sababu ya nchi yake kumkamata rais wa sudani omar al bashir

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza
kwamba hakuna sababu hata moja itakayoifanya
nchi yake kumkamata rais wa Sudan Omar al-
Bashir ikiwa ataalikwa kuhudhuria kikao cha
Umoja wa Afrika kitakachofanyika nchini Rwanda
mwezi Julai mwaka huu.
Rais Bashir anasakwa na mahakama ya kimataifa
ya uhalifu wa kivita (ICC) kwa tuhuma za uhalifu
wa kivita na mauaji katika jimbo la Darfur.
Rwanda si mwanachama wa mahakama ya ICC.
Kutoka Kigali Yves Bucyana anaarifu.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top