Kwa mara ya kwanza jiji la london inaweka historia. soma zaid
London: Maoni ya wananchi yanabainisha
mgombea wa umeya kupitia chama cha Labour,
Sadiq Khan, amempita sana mgombea wa chama
cha kihafidhina Zac Goldsmith. Iwapo Khan
atashinda atakuwa meya wa kwanza Muislamu
kuiongoza London.
0 comments :
Post a Comment