Breaking News
Loading...

Advert

Friday, May 6, 2016

Mahakama kuu Dar imetoa maamzi haya leo dhidi ya Herry kitilya na wenzake wawil.soma zaid.

Leo Mahakama Kuu Dar imetupilia mbali
rufaa ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashataka
(DPP)dhidi ya Kitilya na wenzake,
yaishauri Jamhuri kurudi Kisutu kufanya
marekebisho ya shtaka hilo.
Jumanne wiki hii Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu ilisema kuwa jalada la kesi
inayowakabili aliyekuwa Kamishna Mkuu
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
na Mwenyekiti wa Enterprise Growth
Market Advisors Ltd (EGMA), Harry
Msamire Kitilya na wenzake kimsingi bado
lipo Mahakama Kuu na kwamba
washtakiwa hao walitakiwa kwenda mbele
ya Jaji Mfawidhi kwa maelekezo mengine.
Hayo yalisemwa na Hakimu Mkazi, Emilius
Mchauru pale kesi ya washtakiwa hao
ilipokuja kwa ajili ya kutajwa baada ya
mawakili wa pande zote mbili kusema ya
kuwa kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kupata
maelekezo kutoka Mahakama Kuu kama
ilivyoamuliwa mara ya mwisho.chanzo jamii forums

0 comments :

Post a Comment

Back To Top