Wafanya biashara wanaoficha sukari kwa makusudi kuchukuliwa hatua .soma zaid
Dkt. John Pombe Magufuli
amewaonya wafanya biashara wanaoficha Sukari
ndani kusudi waje kuuza hapo baadae na kusema
kwamba kuacha kuiuza sukari hiyo kwa wananchi
ambao wanahitaji serikali yake itawachukulia
hatua za kisheria,na hatimaye kuigawa bure kwa
wananchi.
Rais Magufuli amewatoa hofu wananchi Katesh,
Mkoani Manyara kuhusu uhaba wa sukari
alipokuwa akizungumza nao nakusema kuwa
tayari wako katika mchakato wa kuagiza
makontena ya sukari nje ya nch
0 comments :
Post a Comment