Breaking News
Loading...

Advert

Friday, May 6, 2016

Mgombea Urais marekani Dornad Trump amepata pigo kutoka ndani ya chama chake.soma zaid.

Spika wa Republican katika Baraza la
Wawakilishi la Marekani,Paul
Ryan,amesema hayupo tayari kumuunga
mkono Donald Trump kuwa mgombea wa
Urais kupitia chama hicho.
Mfanyabiashara huyo bilionea anaonekana
dhahiri kushinda katika mbio za uteuzi
kukiwakilisha chama hicho lakini Ryan
alisema kuwa kabla hakuweza kuidhinisha
suala hilo,Na kuwa Trump alipaswa
kuwaonyesha watu kuwa anaheshimu
taratibu za Republican na angepata kura
za Wamarekani wengi zaidi.
Katika kulijibu hilo Trump lisema hakuwa
tiyari kuunga mkono ajenda ya
RyanMapema Marais wa zamani wa
Marekani George W Bush na babaye
George Bush waliweka wazi kuwa
hawatunga mkono kupita kwa Trump.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top