Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, May 11, 2016

Tani 3000 za sukari zimekamatwa Dar hii leo.soma zaid.

Zaidi ya tani 3000 za sukari zimekutwa
kwenye Godown la Mohamed Enterprise,
wahusika wadai sukari hiyo ni kwa ajili ya
matumizi ya viwandani.
Atoa saa 24 mwenye sukari hiyo kupeleka
nyaraka zinazoonyesha sukari hiyo
inatakiwa kupelekwa viwandani.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top