Usiku wa kuamkia leo moto umeteketeza shule ya sekondar ilala Girls Islamic.soma zaid.
Shule ya Sekondari ya Ilala Girls Islamic
school imeteketea kwa moto. Shule hiyo
ipo maeneo ya Ilala Bungoni, pia msikiti
wa TAQWA umeungua.
Watoto wako salama ila shule imeteketea
takribani yote. Kikosi cha zima moto kama
kawaida yao wamechelewa kufika.
Innaa lillahi wainnaa ilaihi raajiuun
0 comments :
Post a Comment