Wakulima,wavuvi na wafugaji wakutana kujadil kero zinazowakabili .soma zaid
Waziri wa kilimo,Mifugo na Uvuvi
Mh.Mwigulu Nchemba hii leo amekutana na
wafugaji,wavuvi na wakulima zaidi ya 400 kutoka
kanda mbalimbali za nchini.
Katika mkutano wake na makundi hayo
uliofanyika mapema asubuhi hii Ukumbi wa
LAPF-Dodoma,Mwigulu amesikiliza kero za
wafugaji,wavuvi na wakulima kwa vielelezo vya
maeneo yenye matatizo,na suluhisho lake.Kero
hizo kupitia vielelezo mbalimbali ziliwasilishwa
kwa Mwigulu katika kikao hicho kwa kila kanda
kupitia uongozi husika wa makundi hayo,moja
tatizo kubwa ni matumizi bora ya ardhi na umiliki
wake.
0 comments :
Post a Comment