Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, May 17, 2016

David kafulila ameshindwa kesi inayohusu kupinga matokeo ya uchaguzi aliyoifungua zidi ya Hasna mwilima.soma zaid.


Habari wakuu,
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini,
David Kafulila ameshindwa kwenye kesi
yake iliyokuwa ikisikilizwa mahakama kuu
kanda ya Tabora kuhusu kupinga
matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa
CCM, Hasna Mwilima.
Kesi hii ilifunguliwa katika mahakama kuu
kanda ya Tabora na kuwa chini ya Jaji
Ferdinand Wambari.
Katika kesi hii upande wa mlalamikaji
(Kafulila) uliongozwa na mawakili Prof.
Abdallah Safari, Tundu Lissu na Daniel
Lumenyera, Ili hali upande wa
mlalamikiwa (Husna) uliongozwa na
wakili Kennedy Fungamtama pamoja na
Mawakili wa Serikali upande wa
mwanasheria mkuu wa Serikali.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top