Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, June 21, 2016

Mwingine ashitakiwa kwa kumtusi rais magufuli mtandaoni.soma zaid.

Raia mmoja wa tanzania anakabiliwa na
mashataka baada ya kusambaza maoni yake ya
mtandao wa WhatsApp akimuita rais john Pombe
magufuli mpumbavu.
Mulokozi Kyaruzi ameshtakiwa chini sheria
uhalifu wa mtandaoni.
Ni mtu wa pii kushtakiwa chini ya sheria hiyo
kwa kumtusi rais.
Sheria hiyo ilikosolewa sana kwa kukandamiza
uhuru wa kujieleza wakati ilipoanzishwa mwaka
uliopta.
Hivi ndivyo alivyoandika:''Kwani rais Magufuli
hana washauri?haushauriki? Ama ni mjinga tu?Ni
Mpumbavu sana;Haangalii sheria iliopo kabla ya
kufungua mdomo ama anaugua ugonjwa wa
Mnyika''?
Jina Mnyika lililotajwa ni la Mbunge John Mnyika
nchini humo ambaye anajulikana kwa
kuzungumza sana.chanzo BBC swahil.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top