Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 27, 2016

Asikari polisi ahukumiwa kwenda jela miaka 30 na viboko 12.soma zaid

Askari polisi Rafael Paulo aliyekuwa kitengo cha kutuliza ghasia FFU jijini Arusha amehukumiwa jela miaka 30, viboko 12 na faini milioni 15. Yeye amesema hakubaliani na hukumu hiyo, atakata Rufaa.chanzo jamii forums.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top